Wednesday, 31 July 2013

Leo ni Uchaguzi Zimbabwe, Wazimbabwe hata wasio na nguo siku za kampeni wanapendeza sana. Nimekuwa nikijiuliza, wakati wa kampeni Ulaya na marekani wanapeperusha bendera za nchi zao, Africa tunavaa mavazi mazuri ya gharama kwli kweli. Ni kwa nini?


Kampeni za Urais za ZANU PF Zimbabwe

 





  Kampeni za Urais MDC Zimbabwe

  
  
Kampeni za Urais Kenya
 
Kampeni za Urais Afrika Kusini


Kampeni za Urais Tanzania


Kampeni za urais Marekani

Kampeni za uchaguzi Uingereza

0 comments:

Post a Comment