Monday, 15 July 2013

mapema jana,bro wangu alikuwa dereva!!MUNGU AMNUSURU


 Daladala  yenye namba  T 977 BHV ikiwa  imeharibika  vibaya  baada ya  kupata ajali mbaya  eneo la Ilala Mwisho  wa lami mchana  wa  leo na  dereva  pamoja na abiria  mmoja  aliyekuwemo katika gari hilo kujeruhiwa  vibaya
 Daladala  hilo baada ya  kuinuliwa

Wananchi  wa Ilala  wakishuhudia ajali  hiyo 

 Askari wa  usalama barabara  akizungumza na baadhi ya madereva  wa  daladala  na  boda  boda  waliofika  eneo hilo akiwaasa  kuachana na mwendo kasi
 Hivi  ndivyo  daladala  hilo  linavyoonekana kwa  mbele 



Katika ajali  hii  dereva  na abiria  mmoja ambae  walikuwemo katika daladala  hii  wamejeruhiwa  vibaya  japo  taarifa  zinasema  kuwa  mmoja  kati ya majeruhi hao  hali yake ni mbaya  zaidi

0 comments:

Post a Comment