Tuesday, 24 September 2013

USIRUHUSU MUMEO AFANYIWE MASAJI NA MWANAMKE MWENZIO, UJUZI UNAO WEWE

   

ASALAM alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, wiki iliyopita niliandika kuhusiana na mada ya kuwakumbusha wanawake wenzangu jinsi ya kumfanyia masaji mumeo na kumuepusha kwenda kufanyiwa hivyo na zile nyumba za nje.
Mada hii imepokelewa vizuri na wadau wengi, ilikuwa na mapana yake na niliahidi kuendelea nayo ili kuhakikisha mumeo hatoki nje ya ndoa.

Jinsi ya kumridhisha mumeo wakati uko hedhi
Kipengele hiki kinaingia moja kwa moja kwenye mada hii kwani vinaendana, ukimfanyia masaji vizuri mumeo anao uwezo wa kuridhishwa na kujikuta anatua mzigo mkubwa alionao, utamfanyiaje sasa? Wanawake wengi tumekuwa na tabia ya kuwasusa na kuwaogopa wanaume pale tunapokuwa kwenye hedhi, unadhani mwanaume atakwenda wapi? Si ndiyo utakuwa umempa ruksa ya kutoka na kwenda kwa mwanamke mwingine? Mbona mbinu ni nyingi wanawake wenzangu!
Usimtenge mumeo, usimuogope, unapokuwa kwenye hedhi oga vizuri jipambe kama kawaida, mpe ushirikiano,mchokoze tembeza mikono yako kwenye mwili wake wote bila shaka atakuwa yupo tayari kwa mpambano wa kula chakula, kama ni mtu anayependa kukandwakandwa /kufanyiwa masaji basi hapo ndiyo ukazie shosti kuna ufundi wake wa kuchezea maiki ambapo utamfanya abwage mzigo mapema.

Ufundi wenyenwe ndiYo huu
Cha kufanya hapo sasa ni kuhakikisha unakunja mguu wako wa kushoto endelea kutalii mwili wake hasa sehemu nyeti za mwili wake, baada ya hapo atakuja kutulia kwenye ufa wa goti lile ulilokunja na ndiyo mzigo mzima atautua hapo, kwa nini umsababishie maumivu wakati ujuzi ndiyo huo, bibie hebu fanya haya utaniambia mwenyewe.
Wanawake siku hizi mnashindwa kubuni mambo kwa waume zenu ndiyo maana hata ndoa hazidumu. Utakuta wanawake wengine wanaingia hedhi kwa muda wa wiki nzima, hivi humuonei huruma mwenzako? Kumbuka wanandoa kukaa wiki bila kupeana chakula ni kuhatarisha ndoa, kwa nini unakubali kuleta hatari kwenye ndoa yako? changamka bibi mambo ya chumbani ni kujifunza kila kunapokucha na hakika hayana mwisho.

Hitimisho
Usiache kumpa pole mumeo pale anapomaliza kutua mzigo, jitume kwani najua unaweza, mpeleke bafuni ukamsafishe na baada ya hapo unaweza kumuandalia mlo maalumu au kama ni usiku unaweza kumuacha alale, kama ni mchana muandalie mlo wa kurudisha nguvu alizotumia pale gotini kwani si mchezo.
Bila shaka kwa haya machache umenipata, bibi ndoa ndiyo mali ya kwanza hapa duniani kwani kupitia ndoa hiyo ndiyo utapata watoto na faraja ya amani ya moyo kwa sababu ukiwa na matatizo utakaa na wa ubavu wako mtatatua, mtayaongea na kuhakikisha mnayamaliza kwa njia yoyote ile na ndiyo maana wanadamu tukaacha wazazi wetu na kwenda kuambatana na waume, jiulize kwa nini? Kwani huko nyumbani kwenu ulikuwa hupati chakula na mavazi? Mume ni Baraka na ni muhimu maana hata Mungu anajua hilo na ni amri yake.

0 comments:

Post a Comment