Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. |
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari
0 comments:
Post a Comment