![]() |
r |
Wananchi waki mpeleka mama mjamzito kwenya zahanati
Yapi ni maisha bora
Maisha bora ndio haya- umeshawahi kupanda farasi--Tanzania yetuusafiri wa wagonjwa in taabu sana, huyu dada anapelekwa clinic na toroli, Je hii ni haki?
ni lazima wananchi wafanye maamuzi magumu, kwenye uchaguzi ujao
0 comments:
Post a Comment