Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka
28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama
ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au
mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%] Huo ndio ukweli wenyewe.. |
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment