Wednesday, 18 September 2013

MZEE WA MIAKA 95 AMUOA MWANAUME MWENZAKE WA MIAKA 65 MAREKANI....MATUKIO KATIKA PICHA

  

 
 
 
Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya kufikia uamuzi wa kuoana.
 
 
 
John Banvard mwenye miaka 95 alimuoa Gerald Nadeau mwenye miaka 67 huko Diego, California Marekani.
 
 
 
Tukio hilo limeonekana kutoungwa mkono na baadhi ya majirani ambapo ndoa hiyo ilifungiwa ambapo mtu mmoja alijaribu kutoa taarifa kwa kundi linaloendesha harakati za kupinga ndoa za mashoga kwa ajili ya kuja kujaribu kupinga ndoa hiyo isifungiwe katika eneo lao lakini ilishindikana

0 comments:

Post a Comment