Wednesday, 2 October 2013

UNAWEZA KUJIULIZA HUYU NI NANI NI YULE MCHEZA BASKETBALL SUPER STAR LAMAR ODOM KWESHENEY KWA MADAWA

   

Delusional or just driven? The athlete, last seen on September 10 in Studio City, California, wants to clean up and play pro basketball again per a Tuesday report
He wants to regain his glory: The athlete, seen here in May with Memphis Grizzlies player Zach Randolph, had difficulty standing out as a Clipper
The source says he told a friend, 'Everyone wants to see me fail, but I'm not gonna let that happen.'
Though the athlete thinks he can clean up and have a second chance, it looks like he may get knocked down again.
Also on Tuesday RadarOnline reported that video taken from a California Highway Patrol car's dashcam during Lamar's August 30 DUI arrest could surface in the event the case goes to trial. His arraignment has been postponed until October 10.
How he's deteriorated in one year: Healthy and handsome in August 2012 (left) and sickly thin and sweaty in September (right)
Broken promises: He reportedly wanted to take his wife Khloe Kardashian to Santa Barbara for their four year wedding anniversary on September 27 but that didn't happen

There could be a lot of embarrassing moments on that tape which starts when the star is driving under the speed limit on the freeway. There is also video of Lamar, 33, refusing to take a chemical test at the police station.

As far as his return to the game, that seems entirely unfeasible as he has been doing drugs and not working out, according to several reports, and most teams are full and already in training anyhow.

'Lamar Odom is drugged out of his head,' reports TMZ.


The site claims that the people who have been spending time with Lamar - who has not been photographed since he dined with a friend at Teri Sushi in Studio City on September 10 - claim 'his drug problem is out of control.'

'One of his drug dealers alone has sold him thousands of dollars in coke,' reports TMZ.

The site also claims that Lamar was 'using while on the Lakers and on the Mavericks.'

They add that 'he was off the rails using drugs' just months before joining the Clippers 'but cleaned up enough to get through the season.'

The article also touches on the Sixth Man's state of mind, insisting he is 'full-on paranoid now' and that 'he believes people are trying to set him up to get caught.'
A rare Khlomar sighting: The couple were all smiles at Kim Kardashian's baby shower in June

There are also reports from HollywoodLife that the NBA star is upset that his drug issues will be brought up on an upcoming episode of Keeping Up With the Kardashians.

'It’s evil, it’s horrible,' a source tells the site.

'He doesn’t want to be part of that. Some things should really just be left private.

'How’s Lamar suppose to feel better, you know, get his life together, when all this sh** is being broadcast on television?' adds the friend.


Meanwhile, his relationship with Khloe, 29, doesn't seem to be getting any better.

Though she wore her wedding rings while out in Sherman Oaks, California, on Monday to shoot her show Keeping Up With the Kardashians, she did not celebrate her four year wedding anniversary on September 27 with her husband.

She also has been tweeting several disturbing messages such as, 'She smiles to mask the pain in her heart. She laughs to conceal the tears in her eyes.'

Further confirming that she's creating distance from her estranged spouse, in September the beauty dropped the name Odom from her Instagram and Twitter accounts.


Khloe has reportedly been staying with her mother Kris Jenner at her Hidden Hills home and has been seen at the Tarzana mansion she used to share with her husband.

Though Lamar reportedly took a trip to Palm Springs in late September, it's believed he is currently staying at his apartment in downtown LA.
The rings are on: On Monday the reality star stepped out with her wedding bling in place as she showed up at Stanley's in Sherman Oaks to shoot a scene for Keeping Up With the Kardashians

MUME AMUUA KIKATILI MKEWE KWA KUTUMIA KISU HUKO MANZESE BAADA YA KUMTUHUMU KUWA ANAMSALITI

  


KWELI huu ni unyama wa wanaume hata kama si wote! Wanawake wawili wakazi wa maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, wamepoteza maisha kufuatia madai ya kuuawa na waume zao. Inauma sana na Uwazi ndilo lenye mkasa mzima!
Matukio yote mawili yametokea jijini Dar es Salaam na kuacha vilio kwa ndugu na jamaa wakiwa hawaamini kilichowakumba wapendwa wao. 
WALIOTENDWA
Wanawake waliojulikana kwa majina ya Mwanahamisi na mwenzake Waisiko Robert Mtundi ndiyo waliodaiwa kuuawa na waume zao, kisa kikubwa kikidaiwa ni hofu ya wanaume hao kusalitiwa katika mapenzi.
WANAODAIWA KUTENDA
Juma Shaban, mkazi wa Manzese Kwamfuga Mbwa na Samuel Gesire Mlimi, mwenye makazi yake Msongola, maeneo yote hayo yapo Dar ndiyo wanaodaiwa kutekeleza ukatili huo wenye kutoa machozi mpaka basi.
MWANAHAMISI ALIVYOUAWA
Ilikuwa saa tatu usiku, Septemba 21, mwaka huu, kila familia ya eneo la Kwamfuga Mbwa ilikuwa ndani kwa chakula cha usiku au maandalizi ya kulala, ndipo waliposikia zogo kutoka ndani ya chumba cha kwa wanandoa hao.
ZOGO NA MANENO
Kwa mujibu wa majirani hao waliozungumza na gazeti hili baada ya tukio, zogo hilo liliambatana na maneno ya shutuma kutoka kwa Juma kwamba mkewe huyo si mwaminifu ndani ya uhusiano wao.
Majirani walisema shutuma za Juma ziliambatana na kelele za Mwanahamisi kuomba msaada akisema ‘nauawa jamani! Nauawa mwenzenu!’
Wakasema baada ya kama saa moja ya mzozo ulipita ukimya, ndipo kila jirani alitoka nje na kuulizana nini kinaendelea ndani ya chumba cha Mwanahamisi na mumewe!
“Baada ya dakika kumi, tulimwona Juma akitoka chumbani kwake huku akiwa anabofyabofya simu yake ya mkononi na kutokomea kusikojulikana,” alisema jirani mmoja huku macho yakiwa yamevimba kwa sababu ya kumlilia Mwanahamisi ambaye wakati huo alikuwa chini ameshakata roho.
Akaendelea: “Baada ya Juma kuondoka tulipatwa na wasiwasi, tukaenda kumwangalia Mwanahamisi chumbani na kumkuta hajitambui, amelala kifudifudi, ana majeraha sehemu mbalimbali za mwili huku akiwa ametapakaa damu. Alikuwa akipumua kwa mbali.
“Alikuwa hawezi kuongea vizuri, mimi nilimsikia akisema hana uhai tena, tumwombee mtoto wake. Ndani ya chumba tuliona viroba vya pombe kali na kisu kikiwa kimelowa damu, nahisi ndicho alichotumia Juma kufanyia ukatili wake.
“Tuliamua kumwahisha hospitali Mwanahamisi lakini kutokana na hali yake tuliona ni vizuri kuwasiliana na polisi ambao walifika baada ya muda.
“Lakini siku yake Mwanahamisi ilitimia kwani wakati polisi wakijiandaa kumchukua kumkimbiza hospitali aliaga dunia.”
KUMBE NI MWEZI MMOJA BAADA YA KUHAMIA
Wengine waliozungumza na gazeti hili siku ya tukio huku wakitoa machozi, walisema Juma ambaye alitoroka baada ya ukatili huo, alihamia kwenye nyumba hiyo mwezi mmoja nyuma lakini walipata umaarufu mtaani hapo kutokana na tabia yao ya kupigana mara kwa mara.
MJUMBE WA MTAA NAYE ANENA
Akizungumza na gazeti hili katika eneo la tukio, Mjumbe wa Nyumba Kumi, Techla Tesha aliwalaumu majirani na wapangaji wa nyumba hiyo kwa kushindwa kumpelekea taarifa mapema huku wakijua mtuhumiwa alikuwa na tabia ya kumpiga mkewe mara kwa mara.
WAISIKO ALIVYOUAWA
Awali ya yote, inadaiwa Waisiko ni mke mkubwa, mke mdogo jina lake halikupatikana mara moja.
Siku ya tukio, saa tatu usiku inadaiwa Samuel alikwenda nyumbani kwa Waisiko ambapo si mbali sana na nyumbani kwa mke mdogo na kuangusha timbwili zito.
“Samuel aliingia ndani na kuanza kumpiga mkewe mkubwa huku akionya majirani kuwa asiwepo mtu wa kwenda kuamua ugomvi wao.
“Sisi kama majirani tuliogopa kwa sababu Samuel alikuwa akitishia kuwa atakayeingia atamchoma kisu.
“Licha ya vitisho hivyo, tulisimama nje ya chumba chao huku vitisho vikiongezeka lakini namna ya kutoa msaada tulishindwa. Hatukujua chanzo cha ugomvi wao.
“Kauli za mwanamke kila wakati ziliashiria alichokuwa akitendwa kwa wakati huo, mfano kuna wakati tulimsikia akisema anavunjwa mgongo, akasema anang’olewa kucha. Pia kuna muda alilalamikia kuvunjwa mkono. Jamani, marehemu aliteswa sana kabla ya kufariki dunia,” alisema shuhuda mmoja.

NI MATESO YA USIKU KUCHA!!
Shuhuda huyo aliongeza: “Mateso ya mwanamke huyo huenda yalikuwa ya usiku kucha kwani nakumbuka mpaka alfajiri ndipo tukasikia sauti ya mwisho ya Waisiko akisema Samuel umeshaniua,  nimalizie kabisa basi. Baada ya hapo hatukusikia tena sauti wala vurugu.

SERIKALI YA MTAA YAZUNGUMZA
Makamu Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Msongola, Juma Chacha alipohojiwa kuhusiana na mauaji hayo, alisema ana taarifa lakini mtuhumiwa alikimbia baada ya kutenda unyama huo na anatafutwa na polisi.

UWAZI LABAINI KISA
Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kuwa chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa mapenzi kwani ilidaiwa kuwa Samuel alikuwa akimhisi mkewe huyo kutoka nje ya ndoa. 
Chanzo chetu kilisema siku ya tukio, Samuel aliwachukua baadhi ya marafiki zake na kwenda nao baa ambako aliwaambia kuwa anahisi mkewe huyo ana jambo kwani akimuuliza kitu anamjibu jeuri.
Mtoa habari wetu alisema Samuel akiwaambia marafiki hao kwamba siku hiyo akirudi nyumbani, mwanamke huyo atamtambua.

POLISI WALIVYOIKUTA MAITI
Polisi walipofika na kuichunguza maiti waliikuta imevunjwa mkono wa kushoto na kung’olewa kucha za miguu huku uti wa mgongo nao ukiwa umevunjika.
Habari zinasema mara baada ya mtuhumiwa kufanya mauaji hayo, alikwenda kwa mkewe mdogo na kumtaka akamuone mke mwenzie, alipokwenda yeye nyuma akatoroka.
Polisi Mkoa wa Ilala tayari wamemfungulia jalada mtuhumiwa huyo lenye namba STK/RB/10058/2013 MAUAJI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, ACP Marietha Minangi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo.

KUREJESHA BIKIRA KWA WANAWAKE KWA TIBA ASILIA.....SOMA HAPA...

  



Watu wengi hujiulizia  kama  kuna dawa  ya  asili  ya  kurejesha  bikira  kwa  wanawake.
 Ni kwamba,  haipo  dawa  ya  asili  inayo  weza  kurejesha  bikira  kwa  mwanamke. 
Dawa  zilizopo ni dawa  za  kichina, na  side  effects  zake  ni  kubwa  sana. 
Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwanamke  anaye  tumia  dawa  za  kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  yake  anajiweka  katika   hatari  kubwa  sana  ya  kupatwa  na  ugonjwa  wa  kansa kutokana  na  kemikali  mbalimbali  zinazo  patikana  katika  dawa  hizo.
USHAURI  WETU
Tunashauri  usitumie  dawa  za kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  kwa  sababu  madhara  yake  ni makubwa sana.
UTUMIE  DAWA  GANI?:





Hakuna  dawa  ya  kurejesha  bikira, dawa  za  asili  zilizopo  ni  dawa  zinazo  fanya  kazi  ya  kuufanya  uke  kuwa  tight  sana  lakini  hauwi  bikira. 

Bikira  ikishatoka  haiwezi  kurudi  tena.

Tuesday, 1 October 2013

OPERESHENI KIMBUNGA YANASA SILAHA ZA KIVITA, MABOMU YA KUTUPA KWA MKONO...

  

Baadhi ya silaha.
Operesheni Kimbunga inayoendelea kwa awamu ya pili, imebaini hifadhi haramu ya silaha za kivita, katika kijiji bandia cha wahamiaji haramu cha Nyamgali kutoka Burundi, kilichokuwa wilayani Kasulu.

Akizungumza na mwandishi aliyefika katika kijiji hicho juzi, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo, Danhi Makanga, alisema hifadhi hiyo ilikuwa kituo cha silaha zilizovushwa kutoka nchini humo.
"Hapa kilikuwa kituo cha silaha za kivita na mabomu ya kurusha kwa mkono vilivyovushwa kutoka Burundi na kupitishwa kwa njia za panya," alisema Makanga aliyekuwepo katika kituo hicho.
Hifadhi hiyo iliyojengwa mithili ya kituo cha kuhifadhi chakula, ipo katika kijiji hicho ambacho wahamiaji hao haramu wamejenga nyumba za kudumu za kuishi.
Mbali na nyumba za kudumu za kuishi, katika kijiji hicho, kuna shule zinazofundisha kwa lugha za Kirundi, Kifaransa na Kiingereza na maduka yakiwemo ya dawa baridi.
Pia zipo baa zinazouza vinywaji kutoka Burundi, makanisa, karakana za ufundi seremala na hata
mashine za kusaga.
"Watu wanakuja na kujenga himaya yao, tena kwa kuidharau nchi waliyohamia na kutumia hata fedha zao ndugu zangu, hapa ndipo palipokuwa mahali hatari mno," alisema Makanga.
Kutoka katika kituo hicho kwa mujibu wa Makanga, silaha zilisambazwa kwenda sehemu nyingine za nchi, hadi Dar es Salaam. 
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nyamidaho, Ramadhani Shaaban, alisema aliogopa kufuatilia wahamiaji hao kwa kuwa walikuwa wakitoa vitisho kwa kutamka waziwazi kuwa wako tayari kuua watu watakaowafuatilia.
"Waliingia kwa ubabe na kutwaa ardhi na kujianzishia utaratibu wao, hawakutaka kusikia lolote na walioanza kuingia hapa ni wale waasi wa Burundi. Walikuwa na silaha na pia hapa ilikuwa njia yao kuu ya kusafirisha silaha.
"Kwa kuwa walikuwa tishio kwa usalama wa wakazi wa Mvugwe na maeneo jirani, tulitoa taarifa ngazi za juu, taratibu za kuwaondoa zikaanza na wakati mambo yameiva, likaja agizo la Rais Jakaya Kikwete.
"Tunashukuru adha hii inatuondoka sasa," alisema Shaaban na kuongeza kuwa, pamoja na kuishi kinyume cha sheria, waliongoza kwa kulima bangi katika eneo hilo.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya, aliwahimiza Wana-Kigoma kutowalinda wahamiaji haramu, huku akisisitiza kuwa kamwe hatakubali kuona Warundi wanageuza Mkoa wa Kigoma kuwa maficho ya wahalifu.
Aliahidi kushirikiana na viongozi wa ngazi zote mkoani Kigoma kuendesha msako wa mara kwa mara dhidi ya wahamiaji haramu.
Tangu kuanza kwa Operesheni Kimbunga, zaidi ya raia 4,365, wamekamatwa na kurejeshwa nchini mwao, achilia mbali walioondoka kwa njia za panya.
Operesheni Kimbunga ilianzishwa kwa lengo la kukabiliana na vitendo vya uhalifu vilivyokithiri vikiwemo ujambazi wa kutumia silaha, ujangili, utekaji wa magari na mauaji ya kikatili pamoja na migogoro ya ardhi inayotokana na wafugaji kutoka nchi jirani kuingiza mifugo yao kwa ajili ya malisho.
Rais Kikwete alitoa agizo la kuanza kwa operesheni hiyo Julai 29, 2013 akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera.
Katika agizo hilo, alitaka kufanyike operesheni maalumu ya kuondoa wahalifu katika mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita, ambao kwa kiasi kikubwa wengi ni wahamiaji haramu kutoka nchi jirani.
Operesheni Kimbunga inayoongozwa na Brigedia Jenerali Mathew Sukambi, ilianza Septemba 6, 2013, baada ya kupita wiki mbili alizokuwa amezitoa Rais Kikwete alipowataka wahamiaji wanaoishi nchini bila kufuata sheria, kuondoka kwa hiari yao au kuhalalisha ukazi wao nchini.

Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi

00 653a0

Tunapotafakari harakati za kigaidi za kikundi cha Harakaat Al Shaabab Mujaheedin maarufu kama Al Shaabab, hatuna budi pia kuipitia historia.
Kuna taarifa ambazo hazichambuliwi zikawekwa mezani, kuwa nafasi ya Ethiopia katika kuingilia kati na kupambana na Al Shabaab nchini Somalia inatokana pia na ukweli wa kihistoria, kuwa
Ethiopia na Somalia kwenye miaka ya 70 wamekuwa kwenye mgogoro wa mipaka na hususan kwenye jimbo la Ogaden. Ni mgogoro uliopelekea vita pia.
Na ni Ethiopia iliyowahi kuingia Somalia na kupambana na Al Shaabab na hivyo kuvunja taratibu za utawala wa Sharia na uwepo wa Mahakama za Sharia. Ethiopia imekuwa mstari wa mbele katika kuisadia Serikali ya Shirikisho ya Somalia.Ndio, Ethiopia ina maslahi ya moja kwa moja katika Somalia.
Hivyo basi, yumkini adui namba moja wa Al Shabaab ni Ethiopia na si Kenya. Na kwa kuangalia nadharia ya adui wa adui yako ni rafiki yako, tunaona uwepo wa mahusiano ya ajabu. Kwamba kuna taarifa ya uwepo wa mahusiano kati ya Eritrea na Al Shaabab. Maana, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Merek Zenawi, amepata kuwa adui na Isaias Efeworki, Rais wa Eritrea. Hizi ni nchi jirani, na  wawili hawa inasemekana walikuwa na  undugu pia.
Lakini leo tuliangalie kwa karibu tukio la kigaidi lililoushtua ulimwengu na hata kuigizwa kama filamu ya Hollywood.
Ni tukio la utekaji wa ndege ya abiria ya Ufaransa iliyokuwa na abiria wengi wa Kiyahudi. Na mmoja wa wahusika wakuu katika tukio hili la kigaidi alikuwa Jenerali Idd Amin Dadah wa Uganda.
Ndio, licha ya kuwa Jenerali Idd Amin kuendesha ugaidi wa dola kwa maana ya State Terrorism, kwenye tukio hili, Jenerali Idd Amin alishiriki rasmi kwenye Ugaidi wa Kimataifa. Maana, tukio lile la utekaji ndege lilianzia Ulaya, likaambaa Mashariki ya Kati na kumalizikia kwenye ardhi ya Uganda. Ni kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe huku Idd Amin mwenyewe akishiriki kuratibu harakati za kigaidi.
Maelezo marefu juu ya sakata ya Entebbe yanasimuliwa kwa umahiri
mkubwa na mwandishi William Stevensson katika kitabu chake cha (90 Minutes At Entebbe), Yaani Dakika 90 katika Entebbe.
Ndege hiyo ilitekwa nyara Juni 27, 1976 mara ilipoanza kuruka
kutoka uwanja wa ndege wa Athens nchini Ugiriki kuelekea Tel Aviv. Miongoni
mwa watekaji nyara, walikuwemo Wapalestina, lakini raia mmoja wa Ujerumani naye alishiriki utekaji huo. Mjerumani huyo alikuwa ni mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha Ujerumani kulichojulikana kama "Baader-Meinhof."
Inasadikiwa, kuwa Dr. Wadi Hadad, mwanaharakati na Kiongozi wa chama
cha ukombozi wa Wapalestina cha PFLP (Popular front For Liberation of
Palestene) alishiriki kwenye kupanga kazi hii ya kigaidi. Bila shaka,
inaaminiwa pia, kuwa aliyekuwa gaidi nambari moja wakati huo, Ramirez
Carlos, ambaye pia alijulikana kama "The Jackal", alikuwa na mkono wake
kwenye kazi hiyo.
Baada ya kutua na kujaza mafuta Tripoli , Libya, ndege hiyo iliendelea hadi Uganda na kutua Entebbe. Wakati huo Idd Amin alishakorofishana na maswahiba wake Waisrael na kutangaza kuunga mkono harakati za Wapalestina kuikomboa nchi yao. Kuna wakati, Idd Amin alishawahi kutamka, kuwa anawaandaa askari wake kwenda kushiriki mapambano ya kuwandoa Wayahudi kwenye milima ya Golan waliyoiteka toka kwa Wapalestina. Na Idd Amin alishaviamrisha vikosi vyake kufanya mazoezi ya kivita kujiandaa na operesheni ya kuikomboa milima ya Golan.
Naam, ndege ilipotua Entebbe, abiria wote walikaribishwa na Idd Amin mwenyewe. Siku mbili baadae, watekaji nyara walianza kutoa madai yao; walidai mateka wangeachiwa huru kama idadi kubwa ya wafuasi wa vikundi kadhaa vya kigaidi wangeachiwa huru kutoka kwenye magereza ya Ulaya na hata Afrika.
Ni katika tukio hili la utekaji nyara ndege ambapo kwa kiasi fulani mateka walihisi kuwepo kwa tumaini la kukombolewa. Ni kwa vile maofisa wengi wa jeshi la Israel wamefanya kazi Uganda ikiwemo kutoa mafunzo ya kijeshi. Na kama kuna watu duniani waliokuwa wakimjua vema Idd Amin ikiwemo uwezo wa jeshi lake, basi, watu hao ni Waisrael. Maofisa wengi katika jeshi la Idd Amin walipata mafunzo yao ya kijeshi Israel.
Kabla ya operesheni hiyo iliyopewa jina la Thunderbolt kuanza, Mossad, Shirika la Ujasusi la Israel, liliamua kumtumia Jenerali wake mstaafu aliyeitwa Chaim Bal Lev. Bwana huyu alikuwa ni rafiki mkubwa na wa siku nyingi wa Jenerali Idd Amin. Wawili hawa walifanya mazungumzo ya muda mrefu na ya kirafiki kwa kutumia simu. Waliongea karibu siku zote kabla ya mateka kuokolewa.
Kwa kumtumia Jenerali huyu rafiki wa Amin, Waisrael walikuwa wanaiba muda ili kujiandaa zaidi, na vile vile kujaribu kumshawishi Amin asiwadhuru mateka hao na pengine kuwaachia huru.
Hata kama majasusi ya Kiyahudi walikuwa na michoro yote ya uwanja wa Entebbe ambao waliuchora wenyewe na kuujenga, lakini, kazi ya vikosi vya Israel kutua Entebbe haikuwa rahisi sana.
Hawakuwa na hakika ya ukubwa wa vikosi vya Amin uwanjani hapo. Walitegemea zaidi , ufahamu wao wa uwanja wa ndege wa Entebbe. Maana, ni Waisrael waliojenga uwanja huo. Kutoka Tel- Aviv hadi Entebbe ni mwendo wa takribani saa nne kwa ndege.
Uganda na Israel wamekuwa na mahusiano mazuri ya muda mrefu.
Mahusiano hayo yangalipo hadi hii leo. Ni kutokana na sababu za kihistoria.
Kabla ya Jumuiya ya Kimataifa kupendekeza makazi ya Wayahudi waliokuwa
wametapakaa dunia nzima yawe katika Israel ya sasa, nchi ya Wapalestina,
kulikuwepo na wazo la Wayahudi kutafutiwa makazi mapya katika nchi ya
Uganda. Mpaka miaka ya karibuni, nchi pekee ya Kiafrika ambapo raia wa Israel hakuhitaji kuomba viza ni Uganda. Raia wa Uganda pia hawakuhitaji pia kuomba viza ya kuingia Israel.
Tukirudi kwenye tukio lile la utekaji ndege. Kwa haraka, Waisrael waliendesha operesheni ambayo si rahisi kusadikika. Makomandoo wa Israel waliruka kwa ndege kubwa kutoka Tel-Aviv kuelekea Entebbe. Ndege yao ilitua saa sita na dakika moja usiku kwenye pembe ya mbali ya Uwanja wa Entebbe. Taa za ndani na nje ya dege lile kubwa zilizimwa wakati ndege ilipoukaribia uwanja wa Entebbe ikiwa na mwungurumo dhaifu. Mwungurumo
usiosikika kwa mbali.
Waisarel walikuja na ndege mbili, moja ilibaki Nairobi ikiwa na
vifaa vya tiba na vingine muhimu. Iliyotua Entebbe ilibeba gari mbili,
Landrover na Mercedes Benz nyeusi.
Gari hizo zilitumiwa na makomandoo wa Kiyahudi kufika kwenye jengo walilokuwamo mateka. Waliwakuta mateka wote na wateka nyara wakiwa katika ukumbi wa mapunziko kwa abiria.
Amri ilitolewa kwa lugha ya Ki-hebrenia ikiwataka Wayahudi wote wajilaze chini mara moja. Wote waliobaki wamesimama au kuinama kwa kusitasita, hawakupata sekunde zaidi za kutafakari. Risasi za makomandoo wale ziliwamiminikia miilini mwao.
Operesheni ya kikomandoo iliyochukua takribani dakika tisini
pale Entebbe iliwaacha watekaji nyara saba bila uhai. Idadi ya askari wa
Amin takribani ishirini nao waliuawa pale Entebbe. Mateka wote walikombolewa isipokuwa mama wa miaka 75 Dora Bloch aliyekuwa hospitalini Mulago, Kampala.
Inasemekana, kuwa mateka huyo akaja kuuawa na Idd Amin mwenyewe. Habari hiyo haijathibitishwa .
Kwa upande wao, Makomandoo wale wa Kiisrael walimpoteza Kanali
Yoni Netanyahu. Komandoo yule aliuawa kwa kupigwa risasi ya usoni na askari
mmoja wa Idd Amin. Miaka ishirini baadae, kaka wa Yoni Netanyahu akaja kuwa Waziri Mkuu wa Israel, jina lake ni Benjamin Netanyahu, na hadi hii leo, Benjamin Netanyahu ni kiongozi katika Israel.

Papa John Paul kutangazwa mtakatifu Aprili mwakani

zzzzzzzzzzzzpope_25f2f.jpg
Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu Aprili 27 mwakani, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkuu wa sasa wa kanisa Katoliki, Papa Francis.
Taarifa ya uamuzi huo imetolewa leo kwenye mkutano wa makadinali unaoendelea mjini Vatican, ikiwa ni hatua mihimu ya kuthibitisha tangazo lake la Julai mwaka huu kwamba atawapa heshima viongozi hao wawili wa juu wa Kanisa waliopita katika karne ya 20.(P.T)
Katika taarifa iliyonakiliwa kutoka kwenye gazeti la mtandaoni la Daily Mail, alisema wakuu hao wa Kanisa Katoliki duniani ambao kwa sasa ni marehemu waliweza kutumia karama zao kwa uamunifu na kuonyesha matendo makuu.
Wachambuzi wa masuala ya Kanisa hilo alieleza kwamba inaonekana umuzi huo ni wa makusudi ikiwa ni hatua ya kujaribu kuliunganisha kanisa hilo ambalo lina mkanganyiko kwa sasa.
Kila mmoja ana watu wanaomuunga mkono na wanaompinga, ambapo kwa sasa Francis anaonekana kuungwa mkono na wote wa pande zote mbili hivyo kuwa kichocheo cha kuunganisha na kufuta makovu yaliyolikumba Kanisa hilo kwa miaka ya hivi karibuni.

'You will be next': Hate preacher who recruited Nairobi mall massacre killers warns of attack on British soil

 


A hate preacher wanted for recruiting killers to the group that massacred civilians at a mall in Nairobi warned yesterday that Britain was the next target.
Abubaker Shariff Ahmed, who is known to his followers by the nickname Makaburi, meaning graveyard, said terrorists are planning to murder innocent Britons on their mission to impose Sharia law across the world.
Speaking exclusively to the Daily Mail, he named David Cameron as a specific target for the Al-Shabaab  terrorist group, which attacked the Westgate Mall in Nairobi, Kenya, last Saturday.
Asked if terror would be brought to Britain, Makaburi said: ‘Yes. The British will be targeted personally. That means tourists on the streets will be killed. You will all die.
‘The British should be taken out. Your presidents and your cabinets, they are guilty. Obama is a mass murderer. I would give my life to get his.
‘Same thing with David Cameron. Yes, they should be killed.’
Makaburi’s claims came as Mr Cameron revealed he had ordered security and intelligence chiefs to draw up plans to deal with a terrorist attack on British shopping centres.
The Prime Minister, who chaired meetings of the Cobra crisis committee last week, said he had no intelligence of plans for an ‘imminent’ attack in Britain.
But asked whether he was concerned that British-based Somalis might export terror to the UK, Mr Cameron said: ‘There is always a worry of  that and there is a hotbed of terrorism in Somalia that spills over into  other countries.



Incredibly, Makaburi has not yet been questioned by officials in Kenya over the Westgate attack, despite being accused by the UN of being ‘a leading facilitator and recruiter’ of young terrorists in the region.
While he is said to have recruited ‘White Widow’ Samantha Lewthwaite to the group, he insisted yesterday that he does not know where she is or whether she was involved in the latest outrage.
Describing Lewthwaite, 29, from Aylesbury, Buckinghamshire, Makaburi said: ‘I call her Samantha Fox. She is the fox. We know nothing about her. She does not exist. If it’s true then she is a superwoman.’ 
Lewthwaite, a mother of four, is the widow of London bomber Jermaine Lindsay and is on the run in East Africa. 
She is the world’s most wanted woman after Interpol issued a worldwide arrest warrant last week.
Yesterday, Makaburi, 50, was in hiding in a slum on the Kenyan island of Mombasa. He is staying on private property, refusing to leave even for prayers in case he would be killed.
He is accused of being part of a network that directed up to 100 British terrorists to East African training camps.
He warned that the Westgate siege was just the beginning of a series of attacks in revenge for Western intervention in Muslim countries.
‘It is justified,’ he said. ‘If I cannot live with my family, why should the British live with their families?’ 
Asked what he had been doing to pass the time in hiding, he flippantly replied: ‘I am preparing a bomb.’

Picha za mtoto wa kiume mjazito akijifungua

 



A two-year-old boy from Huaxi, has undergone an operation to give 'birth' after doctors diagnosed him as 'pregnant'.
Xiao Feng, was brought to hospital after his stomach had become so distended that he had begun to suffer breathing difficulties.
Once admitted, doctors took x-rays and MRI scans and discovered that Feng was carrying the undeveloped foteus of his own twin inside his stomach and they rushed him to surgery.
The removed foetus measured 20 cm in width and had a fully formed spine and limbs, including fingers and toes.
The parasitic twin would have developed into a boy and had grown so large that almost 2/3rds of his affected twin's stomach was taken up.

TAARIFA INAYOSEMA HUENDA MAGAIDI WA WESTGATE WALITOROKEA NJIA YA MAJI TAKA CHINI YA JENGO HII HAPA

  

Wakati bado kuna maswali mengi kuhusu magaidi waliohusika na shambulio la Westgate kama kweli waliuawa kama isemavyo taarifa ya serikali ya Kenya, mtandao wa Mirror umetoa taarifa kuhusu tetesi za uwezekano wa magaidi hao kutorokea njia ya maji taka kutoka katika jengo hilo.
Mtandao huo umedai kuwa baadhi ya magaidi walitoroka kupitia njia ya maji taka iliyoko chini ya jengo la Westgate inayoenda kutokea katika mto Nairobi.
Kwa mujibu wa habari hiyo njia hiyo inaanzia eneo la maegesho ya magari katika jengo la Westgate na inaenda moja kwa moja kutokea katikati ya jiji la Nairobi. Magaidi hao wanahofiwa kutumia njia hiyo ya maji taka kutoroka na kuwaacha wengine wakiendelea kushambulia.
Taarifa hiyo inaendelea kudai kuwa wana usalama wanadai kuwa magaidi wa Al-shabaab walisafiri umbali wa nusu maili kwa magoti katika njia hiyo ya chini ya ardhi katika njia ya maji taka.
Chanzo kimoja kilisema “They escaped like sewer rats. The terrorists would have been able to pass through the underground tunnels at a rapid pace and surface almost unnoticed”.
Taarifa hiyo inaendelea kusema kuwa wachunguzi wa Kenya hawakuigundua njia hiyo ya kutorokea mpaka masaa 72 kupita baada ya shambulio kutokea.
Hapa ndipo inapotokea njia hiyo ya maji taka kutoka Westgate hadi katikati ya jiji la Nairobi

Makosa 10 wanawake huyafanya wakiwa faragha

 

  


Wapendwa wasomaji wa safu hii, huu ni muendelezo ya makala yetu ya wiki iliyopita inayozungumzia mambo ambayo mwanamke hapaswi kuyafanya awapo faragha na mwenza wake.

Hiyo ni tabia mbaya, ni ubinafsi. Kama kweli unampenda mwenzi wako hutakubali kushiriki naye bila mawasiliano ya hatua kwa hatua. Kumbuka kwamba mnachokifanya siyo kitendo cha ubakaji, umeridhia kwa moyo wako mkunjufu. Unataka raha, sasa utazipataje ikiwa kila mmoja anafanya anachokijua?
Kitendo husika kinamaanisha umoja, unatakiwa uhakikishe unamteka hisia zake zilalie kwako, nawe pia zako uzilaze kwake. Msome ujue anachokitaka kisha mtendee yale yanayompendeza. Ukiona naye anapoteza mawasialiano na wewe, muweke sawa.
Katika hili, nifafanue kwamba kuna wakati mwanamke anakubali kwenda faragha na mwanaume ambaye kwa hakika hampendi. Katika kipengele hicho, matokeo hayawezi kuwa mazuri. Mvuto wake kwako hauwezi kuwa barabara kama hakuna nguvu ya asili inayowavuta na kuwaweka pamoja.
Hiyo nguvu ya asili ni upendo, yaani wewe na yeye mnapendana, kwa hiyo hata tendo lenyewe linakuwa linaleta raha. Kama humpendi maana yake utakuwa unajilazimisha. Hakuna nguvu ya asili inayoweza kukuvuta kwa ndani ili ufurahie kile ambacho mtakuwa mnakifanya.
Ipo tabia kwa baadhi ya wanawake ya kudhibiti hisia zao ili zisiendane na za mwenzake. Unakuta ni ukweli kwamba anapokea mcharazo unaofaa, naye anausikilizia lakini mwenyewe anajitahidi kujikausha eti asijioneshe kwa imani kwamba anapoonekana mahututi, mwenzi wake atamtesa.
“Aku, mimi sitaki kabisa mwanaume aone udhaifu wangu kwake tunapokuwa kitandani, akijua ananipatia atavimba kichwa halafu atanitesa kwa kiburi chake,” hiyo ni kauli ambayo ilitoka kwa mwanamke mmoja ambaye nilipata kubadilishana naye mawazo, wakati nikifanya utafiti wa mada hii.
Yupo msomaji wangu mwanaume aliwahi kuniambia: “Nina tatizo kubwa sana na mke wangu, hataki kuonesha hisia zake, anajikausha hata sijui nifanye nini. Hapa nilipo sijui kinachomfanya asisimke wala sijui ni wakati gani na lini amewahi kufika kileleni. Hili ni tatizo linalonisumbua.
“Nimejaribu kuzungumza na mke wangu mara kadhaa lakini amegoma katakata kuniambia kitu kinachomfanya afurahie tendo. Hataki kunishirikisha kwa chochote, anasema akiniambia ukweli nitampatia na baada ya hapo nitamnyanyasa kwa sababu hatakuwa na ujanja kwangu.”
Nikamuuliza msomaji wangu: “Ni kweli ukijua utamnyanyasa?” Akajibu: “Hata kidogo, siwezi kuthubutu. Lengo langu ni kujua jinsi ya kumfurahisha yeye. Ni mwanamke wangu, sasa atapewa raha na nani ikiwa mimi simpi? Imani yake mbaya inanikosesha raha, maana sizijui hisia za mke wangu.”
Katika mapenzi, ushamba ukae pembeni. Unapoamua kuingia faragha ni sharti ufuate mambo yote muhumu yapasayo eneo hilo. Tambua upo na mwenzio, naye ajue yupo na wewe. Baada ya hapo sasa ni kazi moja tu, kutenda kilicho sahihi bora kwa ushirikiano wa hali ya juu. Hakuna kutegeana.

Itaendelea wiki ijayo.
GPL