Tuesday, 4 June 2013

R.I.P ALBERT MANGWAIR

leo ni siku ambayo mwili msanii maarufu albert mangwair unatarajiwa kufika dar es salaam kutoka afrika kusini.....japo tulimpenda sana ila yeye katangulia sisi tunafuata,tuungane pamoja tuzidi kumuombea apumzike kwa amani....

0 comments:

Post a Comment