Kauli iliyotolewa na mbunge wa kilindi Beatrice Shelukindo ya kuwa msikiti
wa barabara ya saba uliopo katika manispaa ya Dodoma unafundisha mafunzo ya
ugaidi na kareti kwa waumini wake imeuathiri msikiti huo.
Akizungumza na Jombo Shekhe Mohamed Awadhi wa msikiti huo alisema kauli
yake hiyo Imewaathiri waumini wake kutokana kuukimbia na baadhi ya
wanafunzi waliokuwa wakisoma masomo kuhamishwa na wazazi wao.
Awadhi alisema hivi sasa wapo katika wakati mgumu kutokana na waumini
waliokuwa wakiswali ndani ya msikiti huo kuamua kuhama baada ya kutolewa
kauli ambayo wanaamini ni ya uzushi na
0 comments:
Post a Comment