Kodi ya Laini inaongeza mzigo kwa wananchi,serikali iachane na hii kuna
Avenue ya ukweli,siyokoma,ambayo ni guaranteed kuanzia watoto wasio na
simu mpaka wazee...Serikali Wangebuni Kodi ya Tozo kwa kila tendo moja
la ngono iwe hata Sh 200 tu kwa siku,waweke TRA Fiscal devices kila
gesti na hoteli.wale wa vichochoroni sio wengi siku hizi..Uchumi wetu
ungekua kwa kasi kuliko South Africa by October 2013...Pato kuu la kodi hii lingetoka Sinza...
Watanzania wanapenda Ngono zaidi kuliko kazi na kuliko hata kupiga simu...
Waziri wa Fedha nitafute nikupe mchongo,achana na Laini,watu watazima
simu na kutupa line,ila hawawezi kukata nyeti zao zisitumike kumtumikia
Ibilisi...
Mawazo ya Msukuma anayesubiri chakula cha Mama Ntilie aliyechelewa kufika leo...
Na Seth De Jesus Giovanni kutoka face book
0 comments:
Post a Comment