Wale Wasanii Wanao Zungumziwa
sana kwenye mitandao ya kijamii duniani wametajwa huku mkali wa Young
Money, Drake akiwa namba moja kwa kuzungumziwa mara 46,212,641 akifatiwa
na Rapper Kanye West aliyeongelewa mara 25,418,362 kwenye mitandao
tofauti ya kijamii. Takwimu zinaonyesha kutoka kwa album ya Yeezus na
Magna Carta Holy Grail ndio kumesababisha Jayz na Kanye Kuongelewa sana
kitu kilichofanya maongezi yao kuongezea mara milioni 5. Orodha Ndio
Hii.
1. Drake – 46,212,641
2. Kanye West – 25,418,362
3. Lil Wayne – 22,052,209
4. Rick Ross – 16,113,915
5. Jay-Z – 16,022,820
6. 2 Chainz – 13,628,752
0 comments:
Post a Comment