Mtuhumiwa Jalissa D. Baez
Jalissa D. Baez mwenye umri wa miaka 19
mwangalizi wa watoto huko Berks Pennyslvania,anatuhumiwa kwa kesi ya
kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye miaka 9 ambaye aliajiliwa
kumwangalia.
Jalissa amerudia mara nyingi kulala na
mtoto huyo kwa miezi kadhaa,akimlazimisha kufanya nae mapenzi.Pia
alimfanya mtoto huyo ahaidi kutosema siri hiyo.
Jalisa aliajiriwa na baba wa mtoto huyo
kumwangalia mida ya jioni wakati yeye yuko kazini.Jalissa alimlazimisha
mtoto huyo katika mazigira tofauti tofauti kati ya machi na juni wakati
yuko peke yake akimuangalia. Alimnyamazisha mtoto huyo kwa miezi
akimwambia kwamba kinachotendeka ni siri na ataingia matatizoni kama
atamwambia mtu yeyote,alisema mpelelezi Michael J. gombar.
Alipohojiwa na polisi , Jalissa alikiri
kwamba ni kweli alikuwa anafanya mapenzi na mtoto huyo wa miaka 9
kuanzia machi hadi june mwaka jana.
Baba wa mtoto huyo aliwataarifu polisi
ambao walianza upelelezi. baada ya muda wa miezi sita ambao waliata
kibali cha kumkamata katika nyumba ya mama yake Jalissa Baez iliyoko
block ya 300 mtaa wa Milller mwezi uliopita ambapo amekumbana na kesi
zingine ikiwemo kulazimisha mapenzi kwa mtoto, shambulio la
aibu,kuhatarisha ustawi wa watoto na kujidhalilisha
0 comments:
Post a Comment