Aleksandr Pylyshenko ambaye ni mchoraji ni raia wa Ukraine ambaye anaishi na simba wake kwenye chumba kimoha cha wazi. Aleksandr
amekuwa kivutio kikubwa Ukraine ambapo watu huja kumtizama na huweza
kujikusanyia pesa nyingi ili kuendeleza maisha yake ya kila siku
Aleksandr Pylyshenko akiwa anambusu Simba huyo
Wote wametulia
Endelea kutizama picha hizi kwa kubofya hapa chini
Kwa upande mwingine kuna simba dume ambaye amefungiwa upande mwingine
0 comments:
Post a Comment