WAPENDWA
HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA
MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..
MIMI NINGEPENDA MH RAIS WETU MPENDWA
JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KIPINDI HIKI AFANYE JITIHADA KUBWA YA KUILETA
MIJISU YETU..KISHA MAPATO YANAYOPATIKANA HUKO GERMAN TUGAWANE KWASABABU
HII NI MALIYETU SI YA WAJERUMANI...
JEE WEWE UNASEMAJE..???
0 comments:
Post a Comment