Dada: We acha tu kakaangu
yalionikuta hata sijielewi na najuta kumkubali mtu ambaye nahisi afya
yake sio salama alafu mpira umepasuka katikati ya naniliuuu...!
Paparazi: He! imekuaje umkubali mtu usiemuamini?
Dada: Shida kakaangu ningekua
na maisha mazuri nisingemkubaliaaaaa!!!! Yote hayo yamesababishwa na
ugumu wa maisha! Weeeee... Mbona kama unanipiga picha?! Achana na mimi
kumbe unanipiga picha?..!
Paparazi: Hamna dada niliwasha kibiriti cha gesi kikagoma sio kamera dada nisubiri usikimbie!!!
Dada: Sitaki! Nakwambia sitaki usinizoee mi nishavurugwa..!
Wakati huo paparazi alikuwa tayari
kaishapiga picha kadhaa ikabidi aingie ndani ya nyumba hio ya wageni ili
akaipige picha njemba iliopasua mpira kwa bahati mbaya alikuta manyoya
njemba imesepa! Hatimaye kubahatika kuipiga picha condom hio iliopasuka
tu.
Huo ulikuwa mwisho wa
safari yetu na stori yetu ila tunazidi kufuatilia Tukio kimyakimya
wasomaji wa
Alikuwa peku viatu mikononi
PICHA NA PAPARAZI WA
Masai Nyotambofu
0 comments:
Post a Comment