Wednesday, 11 September 2013

HUU NDO MJENGO WA RAISI WA MANZESE..MADEE

  

Kwenye ukurasa wake wa Twitter msanii Madee ambaye ni Rais wa Manzese kupitia Tip Top Connection anasema.Namshukuru mungu kwa kumaliza mjengo wangu.
Na hii ndio nyumba yake.
BIG UP MADE


0 comments:

Post a Comment