Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu
tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai
kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa,
Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo
wake. Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia
amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti
wiki iliyopita. Msikilize hapa akijibu.
8 hours ago
0 comments:
Post a Comment