Nyota huyo wa zamani wa Barcelona
alisema alikuwa na mahusiano yasiyoridhisha na na kocha wa kireno kabla
ya hawajafanya kazi pamoja wakiwa Inter Milan, mahala ambapo walishinda
vikombe vitatu kwa msimu mmoja.
Eto'o ameungana tena na Mourinho wakati alipojiunga na Chelsea hivi karibuni akitokea klabu ya Anzhi Makhachkala kwa mkataba wa mwaka mmpja utaoisha wakati ujao wa kiangazi.
Huu ulikuwa uhamisho ambao Eto'o mwanzoni asingeweza kukubaliana nao.
"Kabla hatujakutana kule Inter, Jose na mimi hatukujuana vizuri kwa ukaribu, hivyo mahusiano yetu hayakuwa yakieleweka," alikaririwa Eto'o alipohojiwa na gazeti la The Sun.
"Nadhani nilisema huko nyuma kwamba nisingekuja kuichezea klabu inayofundishwa na Jose.
"Lakini mungu anajua zaidi. Alitaka kunionyesha sikuwa sahihi na leo hii Jose ni rafiki yangu mkubwa, pia ni kocha wangu kwa mara nyingine tena." Chanzo: Shaffihdauda

0 comments:
Post a Comment