Thursday, 12 September 2013

NELSON MANDELA.....

Nelson Mandela akiwa ofisini mwaka 1952
Kijana Nelson akiwa katika mavazi ya jadi

Nelson Mandela anavyoonekana sasa

Nelson Mandela akiwa na Rais Bill Clinton tarehe 4 July 1993
Shujaa Nelson Mandela akiwa na mkewe GRACA MACHEL aliyechukua nafasi ya mkewe wa kwanza Winnie Mandela

Nelson Mandela enzi hizo

Nelson Mandela akiwa na Dalai Lama 21/8/1996

Nelson Mandela na Michael Jackson

NELSON na GRACA
Nelson Mandela akiwa katika gari inayomrudisha nyumbani mara baada ya kutolewa jela  tarehe Fecruary 1990
Nelson Mandela akiwa katika uso wa furaha baada ya kutolewa jela, pembeni ni Winnie Mandela aliyekuwa mke wake kipindi chote cha ujana.
Nelson Mandela na Winnie 1990
Nelson Mandela na Yasser Arafat mjini Cairo tarehe 20 May 1990
Gereza la Robben Island ambalo shujaa Nelson Mandela alikuwa mfungwa kwa miaka 27 (picture credit huttington post)


0 comments:

Post a Comment