Penzi
halijali Cheo, ukubwa, utajiri au umaskini, penzi linahitaji utajiri wa
moyo, kujitoa, kuthaminiana, kuheshimiana na kusameheana. Ndio maana
wako maskini wenye kiburi na roho mbaya wasiojua kupenda wala kupendwa.
Na pia wapo watu wa maana, wenye kila kitu wanaojua maana ya mapenzi,
walio tayari kuudhihirishia umma kwamba mapenzi kwao si aibu...Naam
wanaojua penzi shata shata... |
0 comments:
Post a Comment